¿Tienes 18 años o más?
niachie ni wimbo wetu sote wenye tuna believe in love.ni wimbo unaohimiza watu kuheshimu mahusiano ya watu na sio kuyaingilia.Wimbo umetayarishwa na MTALIANO kwenye studio za Shirko Media mombasa KENYA.